Mkuu wa Mkoa wa Tabora Agrey Mwanri leo alitembelea upanuzi wa kituo cha afya cha Igurubi kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Igunga kuangalia umefikia wapi ujenzi na fedha zilizotolewa na Serikali zinatumikaje.
RC Mwanri alianza kwa kukagua matofali yaliyotumika kujengea kama ni imara lakini pia aliingia mwenyewe kuwa injinia kwa muda kupima kama vipimo vilivyotumika kujengea majengo hayo manne ni vyenyewe au wamebadilisha vipimo vilivyotolewa na TAMISEMI.
AyoTV na millardayo.com zimekuletea tukio zima lilivyokuwa huko Igunga anakotokea Msanii Shilole ambapo hii ni wakati anakagua majengo na pia hajaacha kuleta msemo mpya ukiacha ule wa fyekelea mbali unao-trend sasa hivi, bonyeza play hapa chini kumtazama
RAIS MAGUFULI: “HUWA SITIKISIKI HATA KWA UPEPO GANI, NINA JESHI……” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO NZIMA
GIGY MONEY: “NILIUZA MWILI WANGU ILI NIMUOKOE MAMA NA DENI BENKI, NILIJUTA” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA GIGY