WHOZU alivyopanda kwenye stage na Kitchen Aprons (Nguo za kupikia) lengo lake ni moja kama ambavyo watu wanapenda kula chakula kitamu basi na yeye jukumu lake ni kufanya show kali ambayo itaacha historia kwa watu wake.