Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Elimu William Ole Nasha imepiga marufuku Walimu kutoa adhabu ya viboko kwa mwanafunzi bila kibali maalum na pia amepiga marufuku Walimu kutembea na viboko, Ole Nasha ametoa agizo hilo wakati akijibu swali la Mbunge wa viti maalum CCM Rose Tweve aliyetaka kujua kauli ya Serikali kwa Walimu wanaokiuka sheria za adhabu kwa Wanafunzi.
TAARIFA MPYA: Marekani yaionya Tanzania ‘Mashoga’ kukamatwa “ni kundi maalum”