Mbunge wa Muleba kusini Prof. Anna Tibaijuka ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni kuchangia mapendekezo ya muswada wa sheria ya huduma za fedha wa mwaka 2018 (The Microfinance Bill, 2018) ambapo aliishauri Serikali kutoa elimu kwa wananchi kuhusu sheria hiyo ili isijekuleta ,mtafaruko kwa jamii.