Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Ajira, Kazi na Vijana Anthony Mavunde amewataka Watanzania ambao wana maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kutoacha kutumia Dawa za kufubaza virusi hivyo kwakuwa itawasaidia kuimarisha afya zao.
Mavunde amezungumza hayo wakati akizindua Kongamano la kisayansi kuhusu UKIMWI amesema kuwa kwa mujibu wa takwimu ni Watanzania 52% pekee ndio wanajua kuhusu afya zao kama wana maambukizi ya UKIMWI ama hawana.
ALICHOZUNGUMZA NAIBU SPIKA NA SUGU KATIKA MAZISHI YA ASKOFU CHENGULA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
WAZIRI WA KAZI NA AJIRA AMESEMA SIO LAZIMA KUAJIRIWA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA