November 29, 2018 Eng. Robert Gabriel amesema tangu aende kuwa Mkuu wa Mkoa wa Geita Afya yake imepungua na yeye hana mali yeyote isipokuwa ana kuku 10 wa mboga kwake.
RC Gabriel ametoa kauli hiyo mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye yupo kwenye ziara mkoani humo ya siku tatu.
MBUNGE WA ARUSHA AWAWEKEA WANANCHI TV KUWAONESHA ALIYOFANYA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA.
MASANJA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAZUNGU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA