Leo November 29, 2018 Kutoka Green City Mbeya tunae Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ambae amezungumzia ishu ya yeye kurudi kufanya Muziki pamoja na tamasha lake la November 30, 2018 yaani Ijumaa.
Sugu “Sababu ya kufanya Show ni kujaribu kurudi kwenye Muziki, kurudi kwa Mashabiki kuna watu ambao ni mashabiki zangu wengine hawaendi kwenye hizi Concept za saivi labda sababu ni za Vijana zaidi, nimerudi ili niwaonyeshe hawa watoto show zinafanywaje”
SUGU BADO ANAHANGAIKA KUTAFUTA PICHA YA GEREZANI, ATANGAZA DAU JIPYA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
MBUNGE WA ARUSHA AWAWEKEA WANANCHI TV KUWAONESHA ALIYOFANYA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA.