RC Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti amesema kuwa wanaendelea kufanya mawasiliano na wataalamu wa Jiolojia ili kuweza kufahamu kitu gani kilichotokea ambacho kilisababisha kishindo kikubwa na muungurumo uliotanguliwa na mwanga mkali.
“Kilichotokea hakina sifa na tabia za mapigo ya aina yoyote ya Kijeshi, saivi tunafanya mawasiliano Viongozi wa Wilaya wote wa Mkoa wa Kagera ili kufuatilia na tupate pakuanzia, Wataalam wa Jiolojia nao wanafuatilia kujua kama ni Kimondo” RC Gugati
SUGU “NIMERUDI KWENYE MUZIKI NIWAONYESHE SHOW, UBUNGE NAWEKA PEMBENI”, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA
MASANJA ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAZUNGU, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA