Leo November 30, 2018 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko wamerudishwa tena katika Mahakama Kuu ya Tanzania kwa ajili ya kujua hatma ya rufaa yao.
ZITTO KABWE AZUIWA KUMPA MKONO MBOWE, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA