Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakipiga Ngoma kwa pamoja baada ya kufungua rasmi kituo cha kutoa huduma kwa pamoja mpakani ( One Stop Border Post – OSBP) katika mpaka wa Tanzania na Kenya Namanga, bonyeza play hapa chini kumtazama
.
.