Katika kutaka kufanikiwa katika kazi ubunifu ni kitu muhimu zaidi ili uweze kukusanya fedha zaidi. Adam maarufu ‘Street Engineer’ ambaye alitengeneza Helikopta yake lakini Wataalam wanaosimamia masuala ya anga walimkataza asiipaishe.
Unaambiwa Adam hakukata tamaa baada ya hiyo amekuja na Gereji inayotembea na kufanya kazi nchini pamoja na Zambia.
LIVE MAGAZETI: Mtandao hatari, CCM kumng’oa Membe, JPM awatolea uvivu, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA