Leo December 3, 2018 Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya James Kasusura amekiri kupata taarifa za Machinga kuandamana katika Soko la Mwanjelwa wakipinga maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila.
Kasusura amesema kitendo walichokifanya Waandamanaji ni cha kihuni na hakikubaliki “wamefanya maandamano na mpaka saivi tunakusanya taarifa tutatoa ripoti kamili ila walichofanya ni uhuni na ni kitu kisichokubalika, wamekaidi agaizo la RC”
WAZIRI MBARAWA AMTUMBUA MENEJA WA DAWASA AKIWA NA WANANCHI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA