Leo December 8, 2018 AyoTV na millaradyo.com imefika nyumbani kwao na Rajab Nassor kijana anaeugulia maumivu kwa miaka minne akiwa kitandani kwa Canser ya Mifupa.
Rajab Nassor ana umri wa miaka 20, baada ya kuhitimu elimu yake ya kidato cha nne mwaka 2014, akapatwa na maradhi hadi leo hajaweza kuinuka, pamoja na kuwa amekataa tamaa ya kupona Kijana Rajab anaomba msaada wa kwenda India kwa ajili matibabu.
KUTANA NA MTANZANIA ASIA MUSTAFA ANAEISHI BILA YA FIGO ZOTE MBILI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA