Taasisi ya Mkapa Foundation inayomilikiwa na Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa imetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa watoa huduma wa afya ngazi ya jamii katika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma ikiwemo baiskeli, buti za mvua na jaketi zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi. Mkuu wa wilaya ya Chemba Saimon Odunga amepokea msaada huo kwa niaba ya Serikali.
MZEE BALAAH AMELIPWA NA JPM ANATAKA AONGEZE MKE “NILIENAE KAZEEKA” | MKEWE ATEMA CHECHE