Kuna hii ya kuifahamu kutoka kwa Wanafunzi wa Chuo cha Utafiti wa Mimea na Wanyamapori SUA wamegundua kuwa mnyama aina ya Fisi maji aishie Baharini na kwenye Maziwa anapatikana nchini Tanzania hususani katika Ziwa Victoria .
Mwanafunzi huyo amesema Fisi maji wapo wa aina 13 lakini kwa Afrika ni aina tatu tu ya wanyama hao ndio wanapatikana huku Tanzania ikiwa na aina mbili pekee kati ya hizo tatu.
Aina hizo za Fisi maji zilizopo Tanzania ni Fisi maji madoa na Fisi maji mweupe ambao wanaishi majini na usiku hutoka nchi kavu.
“MZIKI NDIO ULINITOA ILA KIPAJI CHANGU NI MPIRA” ALIKIBA