Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari kwa watu wanaoishi katika baadhi ya mikoa nchini kutokana na vipindi vya mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha katika siku tano.
TMA imewataka watu wanaokaa maeneo ya Kanda ya Ziwa, Kaskazini, Kusini na karibu na Bahari ya Hindi kuchukua tahadhali hiyo.
“Hii inamaanisha kuwa mafuriko yatatokea katika maeneo mengi na kuathiri jamii nzima, kuvurugika kwa usafiri na barabara kubwa kutopitika, hatari kwa maisha kutokana na maji kujaa au yanayopita kwa kasi,” TMA
Mvua hizo zinategemewa kuanza leo December 17 hadi December 20, 2018.
KIKOKOTOO KIPYA CHA MAFAO SSRA YATOA UFAFANUZI WA KINA “MKUPUO ASILIMIA 25”