John Mnyika mbele ya Rais Magufuli leo “Demokrasia na Maendeleo ni mapacha, tunakuomba Rais unapofanya kazi za Miradi ya Maendeleo vilevile ukatumia fursa hii kuzungumzia kuondoa vikwazo vinavyoikabili Demokrasia ya Nchi ambayo tunaamini vitasaidia Nchi kusonga”
John Mnyika mbele ya Rais Magufuli “Demokrasia na Maendeleo ni mapacha, tunakuomba Rais unapofanya kazi za Miradi ya Maendeleo vilevile ukatumia fursa hii kuzungumzia kuondoa vikwazo vinavyoikabili Demokrasia ya Nchi ambayo tunaamini vitasaidia Nchi kusonga”. #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/5N2R8mzWf5
— millardayo (@millardayo) December 19, 2018
“Rais umepiga marufuku kuzungumzia kauli ya vyuma kukaza lakini ukweli vyuma vimekaza, vyuma havijakaza kwa Mafisadi peke yake, vyuma vimekaza kwa Wananchi wa kawaida” Mnyika
“Rais umepiga marufuku kuzungumzia kauli ya vyuma kukaza lakini ukweli vyuma vimekaza, vyuma havijakaza kwa Mafisadi peke yake, vyuma vimekaza kwa Wananchi wa kawaida” Mnyika mbele ya Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/3CCELev8Fn
— millardayo (@millardayo) December 19, 2018
“Naamini Watanzania wamekuombea usiwe na kiburi, Wananchi wana malalamiko juu ya Bomoabomoa nakuomba kwa kutanguliza utu, Mwl. Nyerere alisema maendeleo ni ya vitu lakini maendeleo zaidi ni ya watu tafakari kuwalipia fidia Wananchi waliopisha ujenzi huu” Mnyika
“Naamini Watanzania wamekuombea usiwe na kiburi, Wananchi wana malalamiko juu ya Bomoabomoa nakuomba kwa kutanguliza utu, Mwl. Nyerere alisema maendeleo ni ya vitu lakini maendeleo zaidi ni ya watu tafakari kuwalipia fidia Wananchi waliopisha ujenzi huu” Mnyika mbele ya JPM pic.twitter.com/S0oDiZ77cV
— millardayo (@millardayo) December 19, 2018
“Ukisikia Wafanyakazi wa Umma wanalilia kikokotoo, wengine wamepandishwa madaraja hawajapandishwa mishahara, Wafanyabiashara wanalia Mtaani, Rais ukipata nafasi ya kuzungumza pamoja na uzinduzi utatoa matumaini ya Taifa kwa 2019 na 2020” Mnyika
“Ukisikia Wafanyakazi wa Umma wanalilia kikokotoo, wengine wamepandishwa madaraja hawajapandishwa mishahara, Wafanyabiashara wanalia Mtaani, Rais ukipata nafasi ya kuzungumza pamoja na uzinduzi utatoa matumaini ya Taifa kwa 2019 na 2020” Mnyika mbele ya JPM #MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/w0Z4YrENCb
— millardayo (@millardayo) December 19, 2018
“Kuna mambo matano yanatoka kwa Mbowe ambayo anawaomba Watanzania na wewe Rais muyatafakari tunapoingia mwaka 2019” Mnyika
“Kuna mambo matano yanatoka kwa Mbowe ambayo anawaomba Watanzania na wewe Rais muyatafakari tunapoingia mwaka 2019” Mnyika mbele ya Rais Magufuli#MillardAyoUPDATES pic.twitter.com/oE35EGLpU8
— millardayo (@millardayo) December 19, 2018
KUBENEA “RAIS DUMISHA DEMOKRASIA, WATU WANA MANUNG’UNIKO, TUMIA BUSARA”