Naibu Waziri wa Kilimo na Mbunge wa Jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa amefika Mkoani Kagera kwa mara ya kwanza ikiwa ni karibia mwezi mmoja tangu ateuliwe kuwa Naibu Waziri na ameeleza mpango mpya walionao kuhakikisha wanawasaidia Wakulima wa Kahawa.
Amesema kuwa tayari amefanya vikao na Vyama Vikuu vinavyotakiwa kuwalipa Wakulima na kueleza mpango waliofikia ili kuhakikisha wakulima wanalipwa haraka iwezekanavyo.
‘AFANDE NYAKUA NYAKUA’: HATULALI NG’O MPAKA MADEREVA WANYOOKE”