Karibu kwenye Life Style ya watu wa Arusha ambapo AyoTV imempata Bibi ambaye ame-trend sana kwenye Mitandao ya kijamii kutokana na style yake ya kuzungumza rafudhi ya Kiarusha na anakwambia anaitwa “CHALII WA R”
“Mimi nakula Loshoro hata wali nakula ila chipsi sili, bibi wa Dar hapa atakaa maana mimi nafanya kazi” -Bibi wa R-Chugga
MWANZO MWISHO KIJANA ALIVYOJIRUSHA ROCK CITY MALL MWANZA NA KUFARIKI