Waziri wa Afya. Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amemuahidi Rais John Pombe Magufuli kuwa ifikapo mwaka 2019 sekta yake itajikita zaidi katika utoaji wa huduma bora kwa watanzania ambapo kwa kuanza ametoa maagizo kwa waganga wakuu wa vituo vya afya nchini pamoja na zahanati kuhakikisha huduma muhimu za matibabu zinaendelea kutolewa kote nchini ikiwemo zile za dharura.
Alichofanya Dr. Tulia baada ya jamaa kutelekeza mapacha Mbeya