Ikiwa leo ni December 25, 2018 siku ambayo ni kumbukizi ya kuzaliwa Yesu Kristu, Watu mbalimbali duniani wanasherekea siku hii katika maeneo tofauti lakini kwa upande wake Mkuu wa wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi ameamua kutumia siku yake kwa kuwatembelea watu wenye ulemavu wa ukoma katika kituo cha Samaria kilichopo Homboro mkoani Dodoma na kuwapatia misaada mbalimbali ikiwemo magodoro, vyakula pamoja na vinywaji vyenye thamani ya Milion 2 za kitanzania.
Alichofanya Dr. Tulia baada ya jamaa kutelekeza mapacha Mbeya