Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda jana December 26 2018 alitaja kazi anayoipenda nje ya Ukuu wa Mkoa katika hafla aliyoiandaa pamoja Viongozi wa Dini, Maaskofu, Wachungaji, na Manabii kutoka Makanisa yote ya DSM.
”Kwa kweli ukiniuliza kazi gani naitamani mimi kama Paul Makonda nakwambia hii ndio naitamani zaidi ya kukaa nyubani mwa bwana siku zote za maisha yangu nikilitafakari neno la Mungu” Paul Makonda