Miongoni mwa stori zilizoenea mtandaoni kwa sasa ni pamoja na tukio la binti anayefahamika kwa jina la Neema Juma umri miaka 15 mkazi wa Dodoma ambaye ni mfanyakazi wa ndani anayedaiwa kufanyiwa vitendo vya kikatili na mwajiri wake Anitha Kimaku ambaye ni Mwalimu wa Shule ya msingi iliyopo mkoani hapa ikiwemo, lakini kubwa zaidi mtoto huyo mwenye umri wa miezi sita akawa anafungiwa kwenye kabati bila kupewa huduma yoyote hadi inapofika saa 8 za usiku.
Ayo TV na millardayo.com imepata nafasi ya kufika hadi katika hospitali ya mkoa wa Dodoma ambapo binti huyo pamoja na mtoto wake wamelazwa kwa ajili ya matibabu na hapa inakusogezea stori kamili.
MELI YENYE MIAKA 105 ILISAFIRISHWA KWA TRENI, INATUMIA MVUKE