AyoTV na millardayo.com imekutana na Mbunge wa Nyamagana Stanislaus Mabula ambaye yeye ametumia muda wake mwaka 2018, kujibu comments za watu wanaomuuliza maswali katika akaunti yake ya Instagram.
“Viongozi huwa hawajibu sana huko na sio kwamba tupo bize sana hakuna sababu ya mtu anatoa comments zake anataka kufafanuzi ama anakosoa ukikaa kimya huo mwezi mzima huyo mtu kesho hawezi kukushauri “ Mbunge Mabula
“Kuna mwingine anataka kukukera tu akasema jambo baya ukachukia, lakini ukaandika kwa hasira ila ukasema hapa nakosea ukafuta ile post kisha ukalike post yake” Mbunge Mabula
MAGUFULI AKISALI “MUNGU MPONYE MAMA YANGU AVUKE 2019” ANAUGUA KIHARUSI