Leo December 31, 2018 Taarifa ambayo imechukua headlines Arusha ni hii ya Bwana harusi aliyefahamika kwa jina la Evelin Makupa kufariki wakati akijiandaa kufunga ndoa kanisani.
AyoTV na millardayo.com imempata Nabii Mtukufu ambaye ndie Kiongozi wa kiroho wa Bwana harusi aliefariki ambapo amesema hahusiki na kifo cha marehemu ila siku ya tukio alifika Kanisani nakuanza kuugua ghafla.