Mwenyekiti wa kamati ya usajili wa timu ya Coastal Union Wagosi wa Kaya ya Jijini Tanga Ahmed Aurora amekanusha sababu aliyoitoa aliyekuwa Katibu Mkuu wa timu hiyo Abdulatif Famau kuwa amejiuzulu kutokana na kuingilia majukumu yake na baadhi ya Viongozi.
Aurora ameyasema hayo ikiwa ni siku mbili tangu kujiuzulu kwa Katibu huyo aliyedai kuingiliwa katika majukumu yake jambo lililomsababbisha kushindwa kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Kocha wa Simba baada ya kuwasili Zanzibar”Sio njia bora ya kuandaa timu”