Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola ameanza ziara yake Mkoani Kagera akiwa Mkoani humo ameongelea suala la Askari wa Usalama barabarani kulipisha faini zisizostaili madereva wa Magari.
Amesema kuwa suala hilo hawatalifumbia macho wataendelea kuwashughulikia wanaofanya hivo mpaka wahakikishe wanaisha.
KATIBU TIMU YA ALIKIBA AMEACHA KAZI, WENYEWE WAFUNGUKA