Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola anaendelea na ziara yake Mkoani Kagera ambapo amefanya mkutano wa hadhara katika Manispaa ya Bukoba na kutoa ufafanuzi juu ya watu wanaokamatwa na kuwekwa ndani siku za weekend na Sikukuu halafu Polisi wanakosa kuwaachia na kuwapa dhamana kwa madai sio siku za kazi.
LIVE MAGAZETI: Wapinzani watua Mahakama Kuu, DCI afunguka Panya Road