Website ya AirlineRatings.com inayochapisha taarifa kuhusu ubora na usalama wa Mashirika ya Ndege Duniani leo Jan 3 imeyataja Mashirika 20 ya Ndege salama zaidi Duniani kwa mwaka 2019.
Inaelezwa Website hiyo imetumia data kutoka kwa Mamlaka zinazokagua Mashirika ya Ndege, taarifa za kaguzi za ndege zinazofanywa na Serikali mbalimbali, takwimu za ajali za ndege Duniani na juhudi za kiusalama zinazochukuliwa na Mashirika ya Ndege kubaini Mashirika 20 ya Ndege salama zaidi Duniani kwa mwaka 2019.
Na Mashirika hayo yaliyotajwa na AirlineRatings.com ni;
20.Swiss International Airlines
19.Finnair
18.British Airways
17.Qatar Airways
16.Lufthansa
15.All Nippon Airways of Japan
14.Cathay Pacific
13.Emirates
12.American Airlines
11.United Ailines
10.Scandinavian Airlines
9.Virgin Group of Airlines
8.Austrian Airlines
7.Singapore Airlines
6.Alaska Airlines
5.EVA Air
4.Air New Zealand
3.KLM
2.Hawaiian Airlines
1.Qantas
Website hiyo pia imeyataja Mashirika 10 ya Ndege yenye gharama nafuu na salama zaidi Duniani kwa mwaka 2019.
Mashirika hayo ni Flybe, Frontier, HK Express, Jetblue, Jetstar Australia / Asia, Thomas Cook, Volaris, Vueling, Westjet na Shirika la Ndege la Wizz.