January 8, 2019 Joseph Musukuma ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini ameendelea kuongea na Wananchi Jimboni kwake kwa kuwataja Madiwani anaodai wamemsaliti kwa kukubali rushwa ya Mil.2, kwa kila mmoja.
“Dhambi hii mimi Musukuma iniepuke tukae macho tunaibiwa, mimi ni mbwa wenu nakemea hawa Madiwani mabwenyeye zile hela zirudi kwa Wananchi. Wakizilipa Pesa nitazunguka kwa Helicopter kuwambia ukweli, nisaidie kuwaita muwaeleze sisi bado ni masikini, kama Waziri anakose Bungeni namuambia huna akili, ije kuwa hawa?” Musukuma
JPM APANGUA WIZARA, AMUONDOA ANGELLAH KAIRUKI WIZARA YA MADINI