Ni headline kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA Jesca Kishoa ambaye pia ni Mke wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe David Kafulila amejibu swali la Mwandishi wa Habari aliyetaka kufahamu anawezaje kufanya kazi ya kuikosoa Serikali ikiwa mume wake ni mteule wa Serikali kupitia chama tawala.