Leo January 14, 2018 Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi ya kupinga Muswada wa Sheria ya Vyama vya Siasa iliyofunguliwa na Kiongozi ACT – Wazalendo Zitto Kabwe na wenzake wawili.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Benhayo Masoud ambapo amesema miongoni mwa sababu ya kuliondoa shauri hilo ni kwamba Zitto na wenzake wamechanganya maombi mawili katika shauri moja.