Leo January 16, 2019 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumchukua aliyekua Rais wa TFF Jamal Malinzi na Katibu wake, Mwesigwa Selestine kwa jailli ya kuhojiwa.
Hayo yameelezwa na Wakili wa TAKUKURU, Leonard Swai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri wakati kesi hiyo ilipoitishwa kwa ajili ya kuendelea na ushahidi.
PART 1: INASIKITISHA: BINTI ALIEKATWA MIGUU YOTE, VIDOLE 9 NA KUTOLEWA KIZAZI