Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amewataka bodaboda kuwa na ushirikiano na kutoa taarifa za uhalifu zinazofanywa katika maeneo yao kazi ya pia amewaomba kuwashawishi Wanawake kuvaa kofia ngumu (helment) kwa ajili ya usalama wao.
“Wanaogopa nywele zao zitapata mba, Wakinamama wanapenda nywele zao hujapata kuona hapa duniani gusa nywele za Mwanamama usikie vita itakayoibuka hapo, wakati mwingine unaweza ukafanya kabiashara hotelini wanatoa kofia ngumu ivae ndo uvae helment, bodaboda msiliachie Jeshi la Polisi kila kitu” RC Mwanri