Kupitia taarifa iliyotolewa hivi karibuni katika kikao cha Naibu Waziri wa Kilimo, Mkuu wa Mkoa Kagera na wadau wa kahawa kuwa Vyama Vikuu vya Ushirika Mkoani humo vinadaiwa zaidi ya Bilioni Moja ambazo ni fedha za wakulima.
Meneja Mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika Karagwe District Co-operative Union (KDCU LTD) Osca Dominick amejitokeza mbele ya Vyombo vya habari na kukana tuhuma hizo huku akieleza fedha ambazo washalipa kuwa ni zaidi ya Bilioni 39.
MWANZO MWISHO CAMERA ZILIVYOMNASA CAG AKITINGA KUHOJIWA BUNGENI