Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Hai Kumutola Kumutola amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumzuia OCD asifanye kazi pamoja na kuongoza maandamano ya wananchi hadi kwenye Ofisi za Mkuu wa Wilaya juu ya kampeni na vitisho vya kisiasa vinayofanyika.
MWANZO MWISHO CAMERA ZILIVYOMNASA CAG AKITINGA KUHOJIWA BUNGENI