Leo January 24, 2019 Wafanyabiashara wadogo maarufu kama Machinga katika Jiji la Arusha wamelalamikia kitendo chakuendelea kutozwa fedha za ushuru baada ya kupata vitambulisho vilivyotolewa na Rais Magufuli.
Baada ya malalamiko hayo Mwenyekiti wa UVCCM Mkoani ametoa tamko baada ya kusikiliza kero zinazowakabili Wafanyabiashara hao.
RPC KIGOMA AZUNGUMZA GARI LILILOPINDUKA NA KUUA WATU WANNE