Huyu ni Richard Luziga ambaye ni mlemavu wa miguu kutoka Mkoani Tabora anaejishughulisha na kilimo cha mpunga, kugonga kokoto na kuchoma tofali ameeleza ugumu wa mazingira ya kazi anazofanya ili kuendesha Familia yake.
JIPYA KUTOKA KWA RPC ALIETUMBULIWA NA LUGOLA “TUKO TAYARI KUFA”