Mbunge wa Viti Maalum kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma leo January 29, 2019 ili kuchangia mapendekezo yake katika Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018.
WANANCHI WAMSAKA MTEKAJI, POLISI WAMWAGA MABOMU, MASAUNI ATOA AGIZO