Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora Dkt. Mary Mwanjelwa alikuwa mgeni rasmi katika kufunga semina ya mkutano wa watafiti REPOA ambapo miongoni mwa maswali aliyokutana nayo kutoka kwa Waandishi ni pamoja na kutaka kujua ni mkakati gani Serikali imejiwekea katika kuwakomboa wanawake wasiojiweza kiuchumi.
Kangi Lugola baada ya watoto kuuawa Njombe “watakiona cha mtemakuni”