January 31, 2019 Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe alikuwa ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni kuchangia mapendekezo yake katika miswada miwili iliyowasilishwa Bungeni ambayo ni Muswada wa Sheria ya marekebisho ya Sheria mbalimbali (No.4) wa mwaka 2018 pamoja na Muswada wa Sheria ya huduma ya maji na usafi wa mazingira.
TWIGA 25 WAUAWA ARUSHA, WATENDAJI WA SERIKALI WADAIWA KUFICHA TAARIFA