February 3, 2019 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe alifunga safari hadi katika jimbo Kondoa mkoani Dodoma ambalo linaongozwa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dr. Ashatu Kijaji ambapo alifanya ukaguzi wa miundombinu mbalimbali ikiwemo ujenzi wa daraja jipya lililopo katika kata ya Masange.
NDALICHAKO AWATUMBUA WATU SITA ARUSHA,DC ANYIMWA MIKATABA