Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewataka wahalifu watatu wanaohusika na matukio ya utapeli kwa njia ya mtandao wakiwa na line 151 za mtandao tofauti ya hapa nchini, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora ACP Emmanuel Nley amezungumza
“Watuhumiwa hawa wamekiri kutapeli kwa watu tofauti katika maeneo ya Mkoa wa Tabora, Shinyanga, Katavi, Singida na Kigoma na inakuwaje mwananchi anakutwa na line za simu nyingi kiasi hiki” Kamanda Nley
MAAJABU: MGANGA AJENGA KABURI LA BILIONI 1 AKIWA HAI ILI AKIFA AZIKWE