Waziri wa Katiba na Sheria Prof. Paramagamba Kabudi amesema “Tendo la ndoa sio haki ya msingi kwahiyo tusilifanye tendo hili kuwa haki ya msingi kwahiyo ni moja ya haki ambayo Mfungwa ana uwezo wa kunyimwa.”.
Watu wanne wafariki magari mawili yakiwaka moto “Sasa hivi hali ni hatari”