RC Mkoani Tabora Aggrey Mwanri amegawa vitambulisho 40,000 katika Halmashauri nane za Mkoa huo ambapo amesikitishwa na kasi ya utoaji wa vitambulisho kwa Wafanyabiashara wadogo zoezi ambalo katika awamu ya kwanza limefikia asilimia 28, ametoa maagizo mapya.
“Mkurugenzi atakayeshindwa kukusanya fedha inayotakana na malipo ya vitambulisho hatufai, nani atakubali niondolewe kwenye Ukuu wa Mkoa nikachukue lile jembe la Kisukuma si watanifukia” RC Mwanri
Tamko la Serikali kuhusu wafungwa kuruhusiwa kufanya tendo la ndoa