Wamachinga wanaofanya biashara katika eneo la Mjini lililopo Manispaa ya Kigoma Ujiji wameilalamikia Halmashauri ya Manispaa hiyo kwa kubomoa vibanda vyao pamoja na kuchukua biashara zao mapema kabla ya wao kufika katika maeneo yao ya kazi huku wakiwa na vitambulisho vya Wajasiriamali na kumlilia Rais Magufuli na Mbuge Zitto kuwatatulia tatizo hilo.
ALIEJENGA NYUMBA MPAKANI MWA KENYA NA TANZANIA “SIJUI MIMI RAI WA WAPI”