Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola amemuonya Kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Arumeru H. Mwampelwa kutokushiriki katika kusindikiza bangi na mirungi baada ya kukithiri kwa madawa ya kulevya ya aina hiyo katika Wilaya hiyo.
Namna ya kutambua habari na taarifa za uongo na uzushi mtandaoni