Leo February 20, 2019 Kufuatia taarifa ya kupungua kwa kasi ya kugawa vitambulisho vya Wafanyabiashara wadogo Mkoani Tabora, RC wa Tabora Aggrey Mwanri amewaeleza wananchi kuwa jambo hilo lipo kisheria.
“Unaweza kwenda na kurupushani lakini ikifika hii noma chukua, tunaangalia sheria inaturuhusu tumekwambia kitu hutaki kusikia pima mwenyewe nitaweka mazingira watapigwa flat wote” RC MWANRI
Rais Magufuli afanya maamuzi ya kumtumbua Mkurugenzi, ateua wengine watatu