Jonathan Shanna aliekuwa Kamanada wa Polisi Mkoa Mwanza leo February 20,2019 amewaaga Askari wake rasmi na kukabidhi Ofisi kwa Muliro Jumanne ambaye ameteuliwa na IGP Simon Sirro kuwa RPC Mwanza.
“IGP alifanya mabadiliko na kumteua Muliro kuja kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, naomba mpeni ushirikiano wa hali na mali kama mlivyonipa mimi ili Jiji Mwanza liwe shwari” ACP Shanna
Faida za kutumia Mfumo wa anwani mpya za kitaifa na postikodi