Katika hali isiyo ya kawaida Kijana Daudi Mwanjoka mkazi Kitongoji cha Majengo Ilembo Kata ya Vwawa Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe alimfumania Mkewe akivunja amri ya sita (kuzini) ambaye amezaa naye mtoto mmoja wa miaka minne nyumbani kwake.
Chanzo cha mpaka kufamaniwa AyoTV imempata Mwenyekiti wa Kitongoji cha Majengo Esioni Ntutule Kijalo ambaye alikua kwenye kikao cha upatanishi anaeleza kuwa mume (aliyefumania) alikua ametengana na mke tangu mwezi wa tano mwaka jana na walikuwa wanaishi pamoja japo walipanga nyumba moja.
Mwenyekiti Kijalo aliendelea kusema kua Mume ambaye aliemfumania Mkewe huyo kuwa alitengana na Mkewe kwa sababu kubwa ya ulevi wa kupindukia na kutokutoa matumizi katika familia yake.
Full story angalia video kujua undani wake